Zingatia haya kuwa na afya bora ya akili

June 21, 2021 1:17 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kupata muda mzuri wa kupumzika, kufanya mazoezi na kuzungumza.
  • Inashauriwa pia kujifunza njia za ukabiliana na msongo wa mawazo

Dar es Salaam. Wakati watu wanawekeza katika afya ya  mwili kwa kula chakula bora, kufanya mazoezi na kujiepusha na baadhi ya tabia hatarishi kwa afya, baadhi yao husahau afya ya akili.

Kutokujali afya ya akili kumewafanya kuingia katika changamoto za maisha ambazo imekua vigumu kuzitatua. 

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), afya ya akili ni hali ya mtu binafsi kuwa na uwezo na kukabiliana na changamoto za kimaisha, kutambua nguvu ambazo anazo na kufanya maamuzi sahihi.

Hata hivyo, zipo baadhi ya tabia ambazo zinamfanya mtu kushindwa kufanya kazi kwa ustadi na kusahau nguvu (ability) yake na hivyo kuathiri uwezo wake wa kupambana na changamoto na kujikuta akiwa katika msongo wa mawazo.

Tabia hizo ni pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya, matumizi ya pombe na kushindwa kutatua changamoto za kimaisha mapema. 

Ni tabia zipi ambazo unashauriwa kuachana nazo ili kuwa na afya njema ya kiakili?  tazama video hii kujifunza zaidi.

                         

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

Nukta TV

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Nukta TV

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

Nukta TV