Viwango vya kubadili fedha za kigeni Machi 24,2025
March 24, 2025 10:38 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Machi 24, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

3 hours ago
·
Fatuma Hussein
Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi na kuwapangia mabalozi vituo vya kazi

1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 25, 2025

5 days ago
·
Lucy Samson
Rais Samia aahidi kuendeleza ushirikiano na Namibia, akimpongeza Rais Netumbo

5 days ago
·
Kelvin Makwinya
Jeshi la Polisi la Tanzania latangaza nafasi za ajira kwa vijana