Viwango vya kubadili fedha Tanzania Septemba 29, 2025
September 29, 2025 10:15 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Septemba 29, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
/
20 May, 2026 · TZS
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
21 May, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →21 May, 2026