Viwango vya kubadili fedha Oktoba 22, 2025
October 22, 2025 8:57 am ·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Oktoba 22, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

24 hours ago
·
Fatuma Hussein
CCM yamteua Asha Hussein Salehe kuwania ubunge jimbo la Fuoni

2 days ago
·
Fatuma Hussein
TCU yakamilisha awamu ya tatu ya udahili wa shahada ya kwanza 2025/2026

7 days ago
·
Kelvin Makwinya
Mpina akwama mahakamani, ndoto za Urais 2025 zayeyuka

1 week ago
·
Fatuma Hussein
Namna ya kuishi na mtoto mwenye Sikoseli