Viwango vya kubadili fedha Tanzania Juni 26, 2025
June 26, 2025 10:10 am ·
Fatuma Hussein
Ikiwa unahitaji kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB katika shughuli zako za biashara unaweza kutumia viwango hivi leo Juni 26, 2025
Hata hivyo, viwango hivi vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kulipa ada za wanafunzi.
