Viwango vya kubadili fedha Tanzania Juni 27, 2025

June 27, 2025 9:48 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Ikiwa unahitaji kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB katika shughuli zako za biashara unaweza kutumia viwango hivi leo Juni 26, 2025.

Hata hivyo, viwango hivi vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kulipa ada za wanafunzi.

Follow Us on TikTok

FOLLOW NOW

Subscribe to Our YouTube Channel

SUBSCRIBE NOW