Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Januari 20, 2026

January 20, 2026 9:13 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania vinavyotolewa na Benki za CRDB na NMB kwa matumizi ya leo Januari 20, 2026.

viwango hivi hubadilika kila siku kulingana na mwenendo wa soko la fedha, na vina umuhimu mkubwa kwa wafanyabiashara, wawekezaji na walipakodi, hasa katika kufanya malipo ya ada, kodi pamoja na ununuzi na uingizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi.

Kupitia viwango hivi vya kubadilisha fedha, watumiaji wa sarafu za kigeni hupata mwongozo sahihi wa kupanga bajeti, kufanya manunuzi na kuendesha shughuli zao za kifedha kwa ufanisi zaidi.

Hata hivyo, fedha nyingine kutoka mataifa mengine duniani zimeendelea kuimarika au kushuka kama inavyoonekana ikiashiria mabadiliko ya nguvu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya sarafu za kimataifa.

2 thoughts on “Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Januari 20, 2026

Comments are closed.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
🔴LIVE: LIVE:WABUNGE WAKIWACHAPA MASWALI MAWAZIRI | Bunge la 13 | Kikao cha 28

🔴LIVE: LIVE:WABUNGE WAKIWACHAPA MASWALI MAWAZIRI | Bunge la 13 | Kikao cha 28

Nukta TV

Top 10 ya magari yanayotumia kiwango kidogo cha mafuta

Top 10 ya magari yanayotumia kiwango kidogo cha mafuta

Nukta TV

SGR yaingizia Serikali Sh169.37 bilioni tangu kuanza kwa safari Juni 2024

SGR yaingizia Serikali Sh169.37 bilioni tangu kuanza kwa safari Juni 2024

Nukta TV