Viwango vya kubadili fedha, Februari 27,2026

February 27, 2026 8:59 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania vinavyotolewa na Benki za CRDB na NMB kwa matumizi ya leo Februari 27, 2026 huku Shilingi ya Tanzania ikiendelea kuimarika dhidi ya Dola ya Marekani kulinganisha na kiwango kilichokuwa jana katika benki zote mbili.

Viwango hivi hubadilika kila siku kulingana na mwenendo wa soko la fedha, na vina umuhimu mkubwa kwa wafanyabiashara, wawekezaji na walipakodi, hasa katika kufanya malipo ya ada, kodi pamoja na ununuzi na uingizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi.

Kupitia viwango hivi watumiaji wa sarafu za kigeni hupata mwongozo wa kupanga bajeti, kufanya manunuzi na kuendesha shughuli zao za kifedha kwa ufanisi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks