Viwango vya kubadili fedha Februari 28, 2025

February 28, 2025 9:13 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Katika soko la jumla Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dola ya marekani inanunuliwa kwa Sh2,568.44 na kuuzwa kwa Sh2,594.13. Katika soko la rejareja benki ya NMB Dola inauzwa kwa Sh2,657 na kununuliwa kwa Sh2,562.

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Februari 28, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks