Uwekezaji wa kigeni Tanzania waongezeka kwa asilimia 0.4 mwaka 2024

May 25, 2026 10:37 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Tanzania imeendelea kushuhudia ukuaji wa uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje ya nchi (FDI) katika kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2020 hadi 2024, huku thamani ya uwekezaji huo ikifikia Dola za Marekani milioni 1,656 mwaka 2024.

Takwimu zinaonyesha kuwa kiwango hicho ni ongezeko la asilimia 0.4 kutoka Dola milioni 1,648.9 zilizorekodiwa mwaka 2023. 

Hata hivyo, ongezeko hilo ni dogo zaidi kuwahi kurekodiwa ndani ya kipindi hicho cha miaka mitano.

Mwaka 2020 Tanzania ilirekodi Dola za Marekani  milioni 943.8 za uwekezaji kutoka nje, kabla ya kuongezeka hadi Dola milioni 1,190.5 mwaka 2021 na kufikia Dola milioni 1,437.6 mwaka 2022.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
15 Aug, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Nukta TV

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Nukta TV

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Nukta TV