Upotevu, uharibifu wa chakula ni janga la dunia

September 30, 2022 8:56 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Licha ya baadhi ya maeneo kukabiliwa na njaa, siyo chakula chochote kinachozalishwa duniani humfikia mlaji. Vingine hupotea  wakati wa mavuno au kuhifadhiwa.

Enable Notifications OK No thanks