Ukatili, kuchepuka: Sababu kuu wanandoa kupeana talaka
March 8, 2023 12:44 pm ·
admin

Dar es Salaam. Wakati takwimu za Ripoti ya Utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) 2020/2021 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), zikionyesha kuwa asilimia 57 ya Watanzania hawapo kwenye ndoa, sababu za wanaume na wanawake kutalikiana zimekuwa zikitofautiana.
Ripoti ya Utafiti wa Taasisi za Kijamii na Jinsia (SIGI) ya mwaka 2021 imebainisha sababu ambazo zinaweza kusababisha wanandoa kutalikiana ama kutengana.
Licha ya kuwa kila kundi la yaani wanawake na wanaume wameainisha sababu za kutalikiana, matendo kama kuzini nje ya ndoa, pamoja na ukatili yameonekana kuwa na asilimia nyingi za kuwa sababu ya talaka au wanandoa kutengana.

Latest
52 minutes ago
·
Kelvin Makwinya
Sekta ya fedha inavyoimarika Tanzania
6 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha Tanzania Januari 23, 2026
23 hours ago
·
Fatuma Hussein
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuwekeza soko la hisa
1 day ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Januari 22, 2026