Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Machi 11, 2025
March 11, 2025 10:01 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Machi 11, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

28 minutes ago
·
Fatuma Hussein
Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Machi 12, 2025

15 hours ago
·
Lucy Samson
CCM yatangaza ukomo wa wabunge wa viti maalum

17 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia: Mnaotaka kugombea ubunge, udiwani toeni taarifa mapema

2 days ago
·
Esau Ng'umbi
Wawili wakutwa na Ugonjwa wa Homa ya Nyani (M-Pox) Tanzania