Tumia viwango hivi kubadili fedha Januari 17,2025

January 17, 2025 8:47 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Katika soko la rejareja Dola ya Marekani imepanda kwa Sh3. Katika benki ya NMB dola inauzwa kwa Sh2,453 na kununuliwa kwa Sh2,548.

Katika soko la jumla Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Dola ya Marekani inauzwa kwa Sh2,449.50 na kununuliwa kwa Sh2,474.0.

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Januari 17,2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks