Siku ya wanawake katika jicho la kijinsia

March 7, 2023 2:47 pm · admin
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Wakati kesho Machi 8, 2023 ikiwa ni Siku ya Wanawake Duniani, bado kuna kazi ya kufanya kuboresha ustawi wa wasichana na wanawake nchini Tanzania kwa sababu wanapitia changamoto nyingi zikiwemo za kiafya. 


Ukeketaji nao haujawaacha salama

Enable Notifications OK No thanks