Orodha ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2024 hii hapa

Lucy Samson 0924Hrs   Mei 30, 2024 Habari

Dar es Salaam.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ametangaza orodha ya watahiniwa 188,787 waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi mwaka 2024.

Kati ya hao, wanafunzi 131,986 wamechaguliwa kujiunga na shule za sekondari za kidato cha tano 622 zikiwemo shule mpya 82 zinazoanza mwaka huu wa 2024.

Tazama hapa orodha ya majina ya waliochanguliwa kujiunga na kidato cha tano

Related Post