Njia za kushawishi watu wako wa karibu kununua bidhaa

April 14, 2021 1:13 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuepuka maneno ya kejeli pale wanaposhindwa kununua bidhaa au kuchagua huduma yako.

Dar es Salaam. Kwa wajasiriamali wengi wanapoanza biashara, hutegemea kushikwa mkono na watu wao wa karibu. Baba, mama, wadogo na ndugu zao, huwa ni sehemu ya soko kwa bidhaa na huduma zao.

Baadhi huchukulia hali ya ndugu na jamaa zao wa karibu kutokununua au kutokushiriki katika safari ya ujasiriamali wao kwa hali binafsi. 

Ni kama wanawaona ndugu hao kama watu wasiofaa katika maendeleo na safari yao ya maisha wakihofia wanaweza kuharibu biashara na mahusiano yaliyodumu kwa muda mrefu. 

Wasichokijua ni kuwa jambo hilo mbali na kuharibu mahusiano linaweza kumpatia wakati mgumu katika biashara au huduma. Lakini haupaswi kuhofu. 

Kujifunza mbinu za kuwafanya watu wako wa karibu washirikiane na wewe katika biashara, tazama video hii.

                         

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
26 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
26 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Nukta TV

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Nukta TV

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Nukta TV