Mikoa tisa unayoweza kupata chanjo ya Uviko-19

September 2, 2021 12:49 pm · Clifford
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kama uko katika mikoa tisa ikiwemo Mbeya, Lindi, Kigoma na Manyara na una sifa za kupata chanjo ya Corona, Serikali imeweka vituo mbalimbali katika mikoa hiyo ili kutoa fursa kwa watu kuchanjwa.

Nenda kachanje ili uwe salama. Kumbuka chanjo husaidia kumkinga mtu na maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19. Kwa sasa, Tanzania inatumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambayo mtu anayechanjwa anapatiwa dozi moja tu.

Ukiwa mkoani Mbeya, unaweza kuchanjwa katika moja ya vituo 21 kulingana eneo ulilopo.

Kama uko katika Mkoa wa Lindi, hivi ni vituo vinavyotoa huduma ya chanjo kwa wakazi wa mkoa huo. Chagua kimoja kinachokufaa.

Hata kama kwa sasa uko Mkoa wa Manyara bado hujachelewa kupata chanjo. Nenda katika vituo hivi ukachanjwe.

Waliopo Kigoma mwisho wa reli, nao wana fursa ya kupata chanjo ya Uviko-19 aina ya Johnson & Johnson.

Mkoa wa Kilimanjro nao unatoa chanjo katika vituo 22.

Uko mji mkuu wa Tanzania, Dodoma nako unaweza kuchanjo chanjo ya Uviko-19

Mkoa wa njombe nao haujabaki nyuma utoaji wa chanjo dhidi ya Uviko-19

Mkoa mwingine ambao una vituo vya chonjo dhidi ya Uviko-19 ni Kagera.

Ukiwa mkoani Simiyu unaweza kupata chanjo katika vituo hivi

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

Nukta TV

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

Nukta TV

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

Nukta TV