Mchuano mkali watoa huduma za ving’amuzi Tanzania

June 3, 2021 8:40 am · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Startimes yaendelea kumiliki soko kwa zaidi ya asilimia 60.
  • Hadi kufikia mwaka 2020, ving’amuzi vilivyokuwa vinafanya kazi vilikuwa milioni 2.8.

Dar es Salaam. Uchambuzi wa takwimu za robo ya kwanza ya mwaka 2021 za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) umebaini kuwa idadi ya ving’amuzi vinavyonunuliwa inaongezeka kila mwaka nchini Tanzania lakini changamoto ipo kwenye matumizi yake.

Vipo ambavyo vinanunuliwa na watu lakini havitumiki kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo baadhi ya kushindwa kulipia malipo ya kila mwezi ili kuendelea chaneli kwenye televisheni zao.

Kwa mujibu wa TCRA, hadi kufikia mwaka 2020, ving’amuzi vinavyofanya kazi ambavyo vinatumiwa na Watanzania vimefikia milioni 2.8 ambapo zaidi ya nusu wanatumia king’amuzi cha Startimes. 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
16 Sep, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
17 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
17 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Sio nyama na matunda tu, Wahadzabe sasa wanakula ugali

Sio nyama na matunda tu, Wahadzabe sasa wanakula ugali

Nukta TV

Haya ndio mambo waajiri huangalia kipindi cha probation

Haya ndio mambo waajiri huangalia kipindi cha probation

Nukta TV

Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nukta TV