Kadhaa wahofiwa kupoteza maisha, kujeruhiwa gari ikisombwa na maji Mwanza

December 13, 2023 9:20 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Mwanza. Baadhi watu wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa mara baada ya gari ya abiria kampuni ya Batco, linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Mahaha wilayani Magu, kudaiwa kusombwa na maji mapema asubuhi wakati dereva akijaribu kuvuka daraja la mto Simiyu.

Afisa Habari Wilaya ya Magu Pachal Mashamba amekiri kutokea kwa ajali hiyo na kwamba taarifa zaidi zitatolewa mara baada ya uongozi kufika eneo la tukio.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Nukta TV

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Nukta TV

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Nukta TV