Jinsi ya kujinasua kwenye upweke, unyonge
February 5, 2021 1:06 pm ·
Rodgers Raphael
- Kila siku huwa na hisia zake na endapo unajihisi upweke na unyonge, yapo mambo unayoweza kufanya ili uwe sawa ikiwemo kupata muda wakupumzika.
Dar es Salaam. Kuhisi unyonge na upweke ni sehemu ya maisha kwani kila siku huja na hisia zake. Zipo siku ambazo utaamka ukiwa na furaha, zipo siku utakuwa na hasira na zipo siku ambazo utakuwa mnyonge.
Kwa mujibu wa tovuti ya mtindo wa maisha ya lifehack, unapokua katika hali hiyo, usijiumize na kujihisi vibaya kwani ni sehemu ya maisha. Yapo mengi ambayo unaweza kufanya ili kujinasua kutoka katika hali hiyo.
Tazama video hii kujifunza zaidi.
Latest

5 hours ago
·
Fatuma Hussein
Chadema kutoshiriki uchaguzi kwa miaka mitano Tanzania

1 day ago
·
Fatuma Hussein
INEC, Serikali, vyama vya siasa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi

1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Tanzania yaahidi kudumisha ushirikiano wa kihistoria na Angola

1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Aprili 11, 2025