Ijue mikoa kumi inayoongoza kwa mbuzi wengi Tanzania
September 5, 2019 11:03 am ·
Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link
- Takribani mbuzi milioni 13 kati ya milioni 19 waliopo Tanzania wanapatikani katika mikoa 10 tu.
- Mkoa wa Arusha unaongoza kwa kuwa na mbuzi wengi wanaofikia milioni 2.58.
Dar es Salaam. Mbuzi ni miongoni mwa wanyama wa kufugwa Tanzania ambao wanashika nafasi ya pili kwa wingi bara na visiwani .
Tanzania ina mbuzi zaidi ya milioni 19 ambapo milioni 18.94 sawa na asilimia 99.4 ya wanapatikana Tanzania bara na waliobaki sawa na asilimia 0.6 wanapatikana Zanzibar .
Mikoa ya Arusha, Shinyanga, Geita, Mwanza, Simiyu, Tanga, Manyara, Singida, Dodoma na Mara.
Kati ya mbuzi wote waliopo Tanzania, zaidi ya milioni 13 wanapatikana katika mikoa hiyo 10 huku mkoa wa Arusha ukiwa kinara kwa kuwa na mbuzi wengi zaidi Tanzania.
Latest
5 hours ago
·
Lucy Samson
Serikali yatoa muongozo kwa wasafiri kudhibiti Marburg
6 hours ago
·
Kelvin Makwinya
72 wafutiwa matokeo mtihani kidato cha nne 2024
6 hours ago
·
Daniel Samson
Imani Henrick: Mafunzo yamenifanya niwe mtangazaji bora
10 hours ago
·
Lucy Samson
Matokeo ya kidato cha nne 2024 haya hapa