Fanya haya kuepuka kufungiwa akaunti zako za mitandao kijamii

January 14, 2021 10:14 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link

​Dar es Salaam. Kutokana na taharuki, kutaka kuwalinda uwapendao na hata kuwa msamalia mwema, huenda umewahi kutaka kutuma ujumbe unaohusu Corona ambao hauna uhakika nao. 

Usilolijua ni kuwa, kwa sasa mitandoa ya kijamii ikiwemo Instagram, Youtube na Facebook imeweka sheria kali dhidi ya kusambaza taarifa za uzushi kuhusu ugonjwa huo.

Mathalan, mtandao wa kupakia habari video wa YouTube hutoa onyo pale mtu anapokuwa anataka kutuma maudhui yanayohusiana na ugonjwa wa Corona na kisha kutoa adhabu ya kufungiwa kwa wiki moja au zaidi ikiwa atajaribu kuweka maudhui yasiyofaa.

Ili kuepukana na kufungiwa mitandao yako ya kijamii, unahitaji kuwa makini kwa kuthibitisha habari zako kwa kutumia zana za kidijitali zikiwemo TinEye na Google reverse Image.

Kufahamu zaidi, tazama video hii.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
3 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
3 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Zingatia mambo haya kabla ya kusaini mkataba wa ajira

Zingatia mambo haya kabla ya kusaini mkataba wa ajira

Nukta TV

Rasmi wageni kuanza kulipa USD44, bima ya safari Tanzania

Rasmi wageni kuanza kulipa USD44, bima ya safari Tanzania

Nukta TV

Hofu yatajwa, kwanini Watanzania wengi hawapimi afya mara kwa mara?

Hofu yatajwa, kwanini Watanzania wengi hawapimi afya mara kwa mara?

Nukta TV