Faida za wananchi kushiriki katika maendeleo ya kijiji

February 3, 2022 6:19 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Huu ni mchakato unaohusu kuhusika na kuhusishwa kwa mwananchi katika Upangaji Utekelezaji, Usimamizi na Tathmini ya mipango mbalimbali ya maendeleo katika kijiji au mtaa. 

Vilevile kushiriki kutambua changamoto na kuweka  vipaumbele ili kuibua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuweka mikakati ya utekelezaji katika ngazi ya kijiji/mtaa. Ushiriki na Ushirikishwaji wa wananchi ni fursa ambayo mwananchi anapaswa kuitambua na kuifaidi ili kuleta tija kwenye maisha yake na jamii yake.

​Fursa anazopata mwananchi zinaweza kuwa za kiraia ,kiuchumi ,kijamii  na kiutendaji. Fursa ya kiraia ni kushiriki katika vikao rasmi vya maamuzi, kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwenendo wa deni la serikali

Mwenendo wa deni la serikali

Nukta TV

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Nukta TV

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Nukta TV