Faida za kuandaa mpango mkakati kwa ajili ya mwaka mpya

December 29, 2021 1:33 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kukusaidia kuvijua vipaumbele vyako vya mwaka.

Dar es Salaam. Usianze mwaka mpya bila mipango. Ni muhimu kuwa na dira ya kukuongoza kwa mwaka wako wote.

Kati ya masuala muhimu kupanga ni ndoto zako na njia za kuzifikia ndoto hizo hadi ifikapo Disemba 31, 2022.

Kufanya hivyo kunakuja na faida mbalimbali ikiwemo matumaini na hamasa ya mabadiliko.

Kuna faida gani zingine za kuweka mipango kwa ajili ya mwaka mpya, tazama video hii kujifunza.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
17 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
17 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Rais Samia: AFCON ni fursa, wawekezaji karibuni kuwekeza

Nukta TV

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Utani wa Rais Samia, matokeo kati ya Simba na Yanga

Nukta TV

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Rais Samia awataka wananchi wa Kizimkazi kutunza miundombinu ya maji

Nukta TV