Euro yaendelea kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania

July 17, 2026 11:49 am · Method Allen
Share
Tweet
Copy Link
  • Ongezeko la thamani ya Euro linatokana na uhitaji mkubwa wa sarafu hiyo katika soko la fedha za kigeni

Dar es salaam. Sarafu ya nchi za Umoja wa Ulaya (Euro) imeendelea kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania, kwa mujibu wa takwimu za soko la ubadilishaji wa fedha zilizotolewa leo Julai 17, 2026 

Takwimu zilizotolewa na benki za kibiashara za CRDB na NMB  zinaonesha ongezeko la thamani ya Euro ikiwa ni tofauti na bei iliyotumika siku ya jana 

Kupitia benki ya CRDB, Euro leo imenunuliwa kwa Sh2,864.44, kutoka Sh2,859.95 iliyonunulia jana sawa na ongezeko la Sh4.49

Bei ya kuuza nayo imepaa kwa Sh7.49 kutoka Sh3,156.95 iliyotumika jana hadi Sh3,164.44 inayotumika leo.

 Kwa upande wa Benki ya NMB, Euro leo imenunuliwa kwa Sh2,880, kutoka Sh2,872 ya jana, na bei ya kuuza nayo imepanda kutoka Sh3,145 hadi Sh3,152.

Ongezeko la thamani ya Euro linatokana na uhitaji mkubwa wa sarafu hiyo katika soko la fedha za kigeni, hali inayopelekea wafanyabiashara wanaotumia Euro katika miamala yao ya kila siku kunufaika zaidi kwa kupata shilingi nyingi na kuingiza mpunga wa kutosha.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

Nukta TV

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

Nukta TV

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

Nukta TV