Serikali yapendekeza kuondoa VAT nguo za pamba ya Tanzania

June 11, 2026 4:49 pm · Nuzulack Dausen
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania inapendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye nguo na mavazi yanayozalishwa kwa kutumia pamba inayozalishwa ndani ya nchi (locally grown cotton) kwa lengo la kuhamasisha matumizi yake.

Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar amesema bungeni Dodoma leo kuwa pia wanapendekeza kuongeza ushuru wa forodha kutoka asilimia 25 hadi asilimia 35 au dola za Marekani 0.30 kwa mita ya kitambaa kutegemea kiwango kitakachokuwa kikubwa.

Hatua hizo za Serikali zinatokana na umuhimu wa mchango wa tasnia ya pamba, nguo na mavazi katika uchumi na kulinda viwanda vya ndani.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
4 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
4 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

Nukta TV

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

Nukta TV

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Nukta TV