Rais Samia amteua Ummy Mwalimu kuwa mshauri masuala ya afya

June 2, 2026 9:05 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni baada ya kukaa nje ya ulingo kwa takribani miezi 22.

Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Ummy Ally Mwalimu kuwa mshauri wa Rais wa masuala ya afya ya uzazi, mama na mtoto.

Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk Moses Kusiluka iliyotolewa usiku wa Leo Juni 2, 2026 imethibitisha uteuzi wa kiongozi huyo.

Uteuzi wa Ummy unakuja ikiwa takribani miezi 22tangu awekwe kando katika baraza la mawaziri na miezi nane tangu aenguliwe katika kinyanganyiro cha ubunge kupitia Jimbo la Tanga mjini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
2 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
2 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Nukta Africa yang’ara tuzo za EJAT 2025, yanyakua tuzo nne

Nukta Africa yang’ara tuzo za EJAT 2025, yanyakua tuzo nne

Nukta TV

Matumizi mabaya ya madaraka bado changamoto Utumishi wa umma

Matumizi mabaya ya madaraka bado changamoto Utumishi wa umma

Nukta TV

Ridhiwani Kikwete achukizwa na tabia hii ya baadhi ya Maofisa Rasilimali Watu.

Ridhiwani Kikwete achukizwa na tabia hii ya baadhi ya Maofisa Rasilimali Watu.

Nukta TV