Sababu baadhi ya bidhaa za chakula kutengwa Soko Kuu la Kariakoo

February 16, 2026 6:19 pm · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuweka usawa wa mzunguko wa wateja katika sakafu zote.

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa mboga mboga katika Soko Kuu la Kariakoo walalamikia mpangilio wa bidhaa muhimu kutengwa katika sakafu tofauti, hali inayodaiwa kuwasumbua wateja na kupunguza mauzo.

Malalamiko hayo yanahusu bidhaa kama vitunguu, nyanya, karoti na pilipili hoho ambazo zimewekwa sakafu ya pili, wakati mboga nyingine zikiwa sakafu ya chini. 

Katika mahojiano na Nukta TV, wafanyabiashara hao wanasema wateja wengi wanapendelea kukuta bidhaa zote muhimu katika eneo moja badala ya kuzunguka sakafu mbalimbali, hali inayowachosha wanunuzi na kusababisha wao kupoteza mapato kutokana na kupungua kwa mauzo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks