Viwango vya kubadili fedha Tanzania Januari 2, 2026
Ikiwa leo ni Ijumaa ya kwanza ndani ya mwaka huu mpya wa 2026, tunakuletea viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania vinavyotolewa na Benki za CRDB na NMB, kwa matumizi ya leo Januari 2, 2026.
Viwango hivi hubadilika kila siku kulingana na mwenendo wa soko la fedha, na vina umuhimu mkubwa katika mwanzo wa mwaka huu mpya ambapo wafanyabiashara na wawekezaji huanza kupanga na kutekeleza shughuli zao za kifedha, ikiwemo ununuzi na uingizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi.
Kupitia viwango hivi vya kubadilisha fedha, watumiaji wa sarafu za kigeni hupata mwongozo sahihi wa kufanya manunuzi, kupanga bajeti, na kuendesha biashara zao kwa ufanisi zaidi katika mwaka huu mpya wa kiuchumi.
Hapa chini ni viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania unavyoweza kutumia leo katika malipo na manunuzi ya bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest