Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Machi 10, 2025
March 10, 2025 1:38 pm ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Machi 10, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

18 minutes ago
·
Kelvin Makwinya
Idara ya Uhamiaji Tanzania yatahadharisha umma na utapeli wa ajira

2 hours ago
·
Fatuma Hussein
Si kweli: TRA wametoa matokeo ya usaili wa nafasi za kazi

2 hours ago
·
Lucy Samson
Bei ya petrol, dizeli yapaa miezi minne mfululizo

3 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha za kigeni Aprili 2, 2025