Viwango vya kubadili fedha za kigeni Machi 5,2025
March 5, 2025 9:22 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Machi 5, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

38 minutes ago
·
Kelvin Makwinya
Idadi ya watalii wa kigeni yapaa Tanzania

42 minutes ago
·
Lucy Samson
Dk Mpango ataja mambo yatakayokuza biashara ya kaboni Tanzania

7 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 6, 2025

21 hours ago
·
Esau Ng'umbi
BOT, wadau wa fedha kushirikiana kuongeza ujumuishi wa kijinsia, ufikiaji huduma za kifedha Tanzania