Viwango vya kubadili fedha Februari 24, 2025

February 24, 2025 10:13 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Dola ya Marekani imezidi kuimarika kwa Sh5 katika soko la rejareja kulinganisha na wiki iliyopita. Katika benki ya NMB Dola inanunuliwa kwa Sh2,545 na kuuzwa kwa Sh2,645 na benki ya CRDB Dola inauzwa kwa Sh2,544 na kununuliwa kwa 2,640.

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Februari 24, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks