Viwango vya kubadili fedha Februari 10, 2025
February 10, 2025 10:36 am ·
Kelvin Makwinya
Katika soko la rejareja, benki ya NMB Dola inauzwa kwa Sh2,615 na kununuliwa kwa Sh2,520. katika benki ya CRDB, Dola ya Marekani inauzwa Sh2613 na kununuliwa kwa Sh2,517.
Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Februari 10, 2025.

Latest
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
Vodacom Tanzania yamwaga Sh70 bilioni kuboresha M-Pesa
2 weeks ago
·
Kelvin Makwinya
BoT yabakiza riba ya benki kuu 5.75% licha ya vita Mashariki ya Kati
2 weeks ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
2 weeks ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026