Viwango vya kubadili fedha Februari 7, 2025
February 7, 2025 10:15 am ·
Kelvin Makwinya
Katika soko la rejareja Dola ya Marekani imeendelea kusali katika kiwango karibu sawa na jana . Katika benki ya NMB Dola inauzwa kwa Sh2,608 na kununuliwa kwa Sh2,513. katika benki ya CRDB, Dola ya Marekani inauzwa Sh2607 na kununuliwa kwa Sh2,511. Tofauti ya Sh1
Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni leo dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Februari 7, 2025.

Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
/
5 Jun, 2026 · TZS
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
5 Jun, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →5 Jun, 2026