Viwango vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya shilingi ya Tanzania
November 26, 2024 12:14 pm ·
Davis Matambo
Share
Tweet
Copy Link
Thamani ya shilingi ya Tanzania inaendelea kuimarika dhidi ya dola ya Marekani, bei ya kununua imeshuka kwa Sh7.32 sambamba na bei ya kuuza Sh7.39 kutoka jana.
Hatah ivyo thamani ya shilingi ya Tanzania imeshuka dhidi ya Euro ambayo bei ya kununua imepanda kwa Sh10.7, wakati ya kuuza ikipanda kwa Sh10.81 kwa viwango vya Benki Kuu.
Bei ya kununua dhahabu imeshuka kwa Sh65,240 kutoka Sh7,089,746 iliyokuwa sokoni jana na kuuzwa Sh7,024,506 inayotumika leo.
Latest
7 hours ago
·
Nuzulack Dausen
Mawingu acquires Tanzanian long-serving internet provider
24 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Serikali ya Zanzibar yazuia mapumziko Novemba 27 kwa watumishi wa umma
1 day ago
·
Davis Matambo
Sababu za Australia kupiga marufuku mitandao ya kijamii kwa watoto chini ya miaka 16
5 days ago
·
Mariam John
Takukuru Mwanza yaonya rushwa kipindi cha uchaguzi