Necta yatangaza matokeo ya darasa la saba 2023.
November 23, 2023 7:44 am ·
admin
Dar es Salaam. Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2023 ambapo jumla ya watahiniwa milioni 1.3 wamefaulu kwa kupata madaraja a, b, na c.
Katibu Mtendaji wa NECTA Dk. Said Mohamed aliyekuwa akitangaza matokeo hayo leo Novemba 23, 2023 amewaambia wanahabari kuwa asilimia 76 ya waliofaulu wamepata daraja b na c.
“Ufaulu umeongezeka kidogo kwa asilimia 0.96 na kufikia asilimia 80.6,” amesema Dk. Mohamed
Bofya hapa kutizama matokeo ya darasa la saba 2023
Latest

23 hours ago
·
Fatuma Hussein
Rais Samia: Jitokezeni kuboresha taarifa zenu ili mpige kura

2 days ago
·
Fatuma Hussein
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yaomba kuidhinishiwa bajeti ya Sh291.5

2 days ago
·
Nuzulack Dausen
Vodacom Tanzania yaripoti faida ya Sh90.5 bilioni

3 days ago
·
Gustaph Goodluck
Spiro yazindua pikipiki ya umeme kuchochea usafiri salama, nafuu Tanzania