Orodha ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2024 hii hapa
May 30, 2024 1:37 pm ·
Lucy Samson
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ametangaza orodha ya watahiniwa 188,787 waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi mwaka 2024.
Kati ya hao, wanafunzi 131,986 wamechaguliwa kujiunga na shule za sekondari za kidato cha tano 622 zikiwemo shule mpya 82 zinazoanza mwaka huu wa 2024.
Tazama hapa orodha ya majina ya waliochanguliwa kujiunga na kidato cha tano
Latest
5 days ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
6 days ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026
6 days ago
·
Lucy Samson
ATCL yaripoti hasara ya Sh191.1 bilioni, CAG aanika sababu
6 days ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia apokea ripoti CAG, TAKUKURU na PPRA aagiza utekelezaji wa haraka
