CHATI YA SIKU: Taka za majumbani zachangia ongezeko la uchafu Dar

January 8, 2020 3:43 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link
  • Uzalishaji wa taka katika jiji hilo umeongezeka zaidi ya mara pili kati ya mwaka 1998 na 2017.
  • Inakadiriwa kuwa hadi kufikia mwaka 2025, jiji hilo litakuwa linazalisha tani 12,000 za taka kwa siku.

Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam ni moja ya majiji yanayokuwa kwa kasi sana huku uzalishaji wa taka nao ukiongezeka zaidi ya mara mbili ya ule uliokuwepo mwaka 1998.

Kwa mujibu wa ripoti ya Takwimu za Taifa za Mazingira ya mwaka 2017 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Hadi kufika mwaka 2017 uzalishaji wa taka katika jiji hilo ulifikia takribani tani 4,600 kwa siku huku asilimia 75 ya taka hizo zikizalishwa majumbani.

Inakadiriwa kuwa hadi kufikia mwaka 2025, jiji hilo litakuwa linazalisha tani 12,000 za taka kwa siku.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Dk. Ndumbaro: Suala la utawala bora watu wanaliangalia kwa mtazamo finyu.

Dk. Ndumbaro: Suala la utawala bora watu wanaliangalia kwa mtazamo finyu.

Nukta TV

Kama huingizi angalau Sh750,000 kwa mwezi, hii inakuhusu

Kama huingizi angalau Sh750,000 kwa mwezi, hii inakuhusu

Nukta TV

Ujumbe mzito wa Dk. Tulia Ackson kuhusu usawa akiaga urais wa IPU

Ujumbe mzito wa Dk. Tulia Ackson kuhusu usawa akiaga urais wa IPU

Nukta TV