Unayotakiwa kufahamu kuhusu virusi vya Corona

February 3, 2020 3:04 pm · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kwa mujimu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), hadi kufikia Februari 2, 2020, watu zaidi ya 14,500 wameambukizwa virusi vya Corona na tayari vimesambaa kwenye mataifa 24 licha ya serikali nyingi kuweka marufuku ya kuingia kwa watu wanaotoka China ambako takriban asilimia 99 ya visa vimeripotiwa.

Enable Notifications OK No thanks