Unavyoweza kuokoa macho, chaji kwa “dark mode” ya WhatsApp

August 5, 2020 12:37 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Mfumo huo unafanyakazi kwa kupunguza mwanga wa simu yako na kubadilisha weupe uliopo kwenye WhatsApp na kuwa weusi
  • Matumizi ya mfumo huo yatamsaidia mtumiaji wa simu kujiepusha na changamoto za uoni.
  • Pia, “Dark mode itasaidia simu kukaa na chaji kwa muda mrefu zaidi wakati unatumia app ya WhatsApp.

Dar es Salaam. Kuna manufaa mengi ya kupunguza mwanga wa simu yako ikiwa ni pamoja na kuyaepusha macho yako na changamoto za uoni zinazoweza kukupata kwa kutumia simu ukiwa gizani.

Kama kuna ulazima wa wewe kuendelea kutumia simu yako hasa mtandao wakijamii wa WhatsApp, sasa unaweza kiuiweka app hiyo katika mfumo unaofaa kwa matumizi ya gizani yaani dark mode.

Dark mode ni mfumo ambao unabadilisha muonekano wa WhatsApp na kuiwekea weusi ili uweze kutumia app hiyo kwa amani unapokuwa gizani au unapohitaji kutunza chaji ya simu yako.

Kwa kufanya hivyo, hautayaokoa macho yako tu bali utaokoa kiasi cha chaji ambacho simu yako ingetumia endapo ungetumia app ya WhatsApp katika mfumo wa mwanga (light/default mode)

Unawezaje kuiwezesha WhatsApp kuwa katika mfumo wa “dark mode”? Tazama video hii.

                             

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
15 Jun, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwenendo wa deni la serikali

Mwenendo wa deni la serikali

Nukta TV

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Nukta TV

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Nukta TV