Video: Unavyoweza kudumisha amani na wafanyakazi wenzako ofisini

April 23, 2021 1:06 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni kwa kuepuka utegemezi na fuata sheria na kanuni za ofisi yako.
  • Pia inashauriwa kuepuka kufungamana na ugomvi wowote ulioukuta ofisini.

Dar es Salaam. Yapo mambo mengi yanayoweza kufanya kazi yako kuwa rahisi na hata kuifurahia ikiwemo maelewano mazuri kati yako na wafanyakazi wenzako.

Kuanza kazi katika ofisi mpya, ni jambo la kufikirisha kwa baadhi ya watu hasa vijana ikiwa watu  hao hujiuliza kama wataweza kuishi vyema na wafanyakazi wenzao na kama watapata ushirikiano wanaostahili kutoka kwa watu wasiofahamiana nao.

Kwa baadhi ambao hubahatika, huishia kuanza kazi katika timu au ofisi ambazo watu wake hubaki kuwa familia lakini kwa wengine, kila siku ya kazi ni kama muendelezo wa tamthilia ya maigizo ya kihindi iliyojaa visa na vimbwanga vipya.

Ufanye nini kama mazingira yako ya kazi hayakupatii amani na wafanyakazi wenzako? Tazama video hii kujifunza zaidi.

                      

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
6 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
6 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Nukta TV

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Nukta TV

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Nukta TV