Mambo ambayo mjamzito anashauriwa kuzingatia kuelekea kujifungua mtoto wa kwanza
June 7, 2021 12:50 pm ·
Rodgers Raphael
- Ni pamoja na kuwa na uhakika wa hospitali atakayoenda kujifungulia.
- Pia, kuandaa nyaraka muhimu ikiwemo bima ya afya na fedha za dharula.
Dar es Salaam. Kuelekea kujifungua, ni kati ya siku ambazo huwa ngumu kwa mama mjamzito ambaye ndio mara yake ya kwanza kujifungua.
Baadhi huwa na mawazo ya jinsi hali itakavyokuwa na endapo watajifungua salama au la.
Hata hivyo, mawazo hayo yanaweza kupungua endapo mama amejiandaa inavyopaswa kuelekea siku yake ya kujifungua mtoto wake ajaye.
Mambo hayo ni pamoja na kuwa na bima ya matibabu pamoja na uhakika wa hospitali ipi ataenda kujifungulia.
Ni mambo gani mengine yatakayompa mama amani kuelekea siku yake ya leba? Tazama video hii kujifunza zaidi.
Latest
7 days ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026
1 week ago
·
Lucy Samson
ATCL yaripoti hasara ya Sh191.1 bilioni, CAG aanika sababu
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia apokea ripoti CAG, TAKUKURU na PPRA aagiza utekelezaji wa haraka
