Mambo yatakayosaidia utengemavu wa sekta ya utalii Tanzania

August 26, 2021 7:14 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es salaam. Kutokana na athari za ugonjwa wa Corona (Uviko-19) katika sekta ya utalii, mambo matano muhimu yanapaswa kupewa kipaumbele ili kuhakikisha utengemavu wa sekta hiyo.

Mambo hayo ambayo yameainishwa katika Ripoti ya 16 ya hali ya uchumi Tanzania mwaka 2021 ya Benki ya Dunia ni pamoja na kuweka mazingira yenye ufanisi, uhakika na uwazi katika uwekezaji na biashara. 

Vile vile, kuanzisha mfumo madhubuti wa taarifa utakaosaidia kupata takwimu kutoka kwa watalii na kampuni zinazojihusisha na utalii ili kuwawezesha watunga sera kuboresha sekta hiyo.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Rais Samia azindua minara 758, aacha maagizo mazito juu ya mkongo wa taifa

Rais Samia azindua minara 758, aacha maagizo mazito juu ya mkongo wa taifa

Nukta TV

JAJI MKUU: Njia za asili ni mojawapo ya njia halali za utatuzi wa migogoro

JAJI MKUU: Njia za asili ni mojawapo ya njia halali za utatuzi wa migogoro

Nukta TV

Hesabu ya bosi, bei ya mafuta pasua kichwa madereva wa daladala

Hesabu ya bosi, bei ya mafuta pasua kichwa madereva wa daladala

Nukta TV