Umuhimu wa chanjo ya Uviko-19 kwa walemavu

October 25, 2021 1:15 pm · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es salaam. Kutokana na  changamoto mbalimbali wanazopitia walemavu, zinawaweka katika hatari kubwa ya kuambukizwa ugonjwa wa Corona (Uviko-19) ni muhimu kuwapa kipaumbele katika utoaji wa chanjo ya ugonjwa huo.

Changamoto hizo ni pamoja na  ugumu wa kupata taarifa kuhusu Uviko-19 hasa kwa walemavu wa macho na masikio.

Vile vile ugumu wa kujitenga na watu wengine hasa kwa walemavu wanaoishi katika uwingi wa watu na wale ambao wanaihitaji wasaidizi.

Follow Us on TikTok

FOLLOW NOW

Subscribe to Our YouTube Channel

SUBSCRIBE NOW