Zingatia haya kabla ya kusafiri nje ya nchi
December 14, 2021 11:48 am ยท
Rodgers Raphael
- Hakikisha umepata chanjo ya Uviko-19.
- Pia kuandaa bajeti ya dharula kwa ajili ya vipimo vya Uviko-19.
Dar es Salaam. Utajisikiaje pale utakapokuwa umepanga safari yako kwenda nchi fulani kibiashara au hata matembezi ya sikukuu na ukaishia kupata vikwazo?
Bila shaka jibu ni kuwa hautojisikia vyema. Mbali na kupoteza fedha, utakuwa umepoteza muda na rasilimali zingine ulizoandaa kwa ajili ya safari yako.
Unaweza kuepukana na yote hayo kwa kufahamu baadhi ya mambo muhimu kabla ya safari ikiwemo kupata chanjo:
Jifunze zaidi kupitia video hii
Latest
7 days ago
ยท
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
1 week ago
ยท
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026
1 week ago
ยท
Lucy Samson
ATCL yaripoti hasara ya Sh191.1 bilioni, CAG aanika sababu
1 week ago
ยท
Kelvin Makwinya
Rais Samia apokea ripoti CAG, TAKUKURU na PPRA aagiza utekelezaji wa harakaย