Ujumuishaji wa kifedha una umuhimu gani kwa maendeleo ya wananchi?
February 2, 2022 7:14 am ·
Mwandishi
Dar es Salaam. Ikiwa wananchi watatumia kikamilifu huduma za kifedha hasa mtandaoni itawasaidia kuondokana na umaskini na kuwawezesha kupata kipato cha kuboresha maisha.
Hiyo ni fursa pia kwa wananchi hasa wakulima katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu ambao wanategemea kilimo cha pamba na alizeti kujipatia mitaji na mikopo kuendesha shughuli zao.

Latest
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
Vodacom Tanzania yamwaga Sh70 bilioni kuboresha M-Pesa
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
BoT yabakiza riba ya benki kuu 5.75% licha ya vita Mashariki ya Kati
2 weeks ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
2 weeks ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026