Yaliyomo ripoti ya CAG mwaka 2020-21

April 1, 2022 7:19 am · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere tayari amewasilisha ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2021 kwa Rais Samia Suluhu Hassan huku akiibiwa mambo mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa deni la Serikali.

CAG Kichere katika taarifa yake aliyoitoa mbele ya Rais Samia Machi 30, 2022 Ikulu Chamwino, Dodoma aligusia mambo mbalimbali yaliyopo katika ripoti yake. 

Amesema deni la Serikali Tanzania limeongezeka kutoka Sh56.7 trilioni mwaka 2019/20 hadi kufikia Sh64.5 trilioni kufikia 2020/21.

Mambo mengine aliyogusia yanapatikana katika infografia hii.

/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
25 May, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
25 May, 2026
No active movers today
Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

Nukta TV

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

Nukta TV

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

Nukta TV