Viwango vya kubadili fedha za kigeni Machi 13,2025
March 13, 2025 9:59 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Machi 13, 2025.
Kwa mujibu wa Benki hizi viwango cha kuuza na kununua Dola ya Marekani kwa siku ya leo imesalia kuwa sawa na ya viwango vilivyorekodiwa jana Machi 12, 2025.
Hata hivyo, viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

8 hours ago
·
Lucy Samson
Tanzania yatangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Marburg

1 day ago
·
Fatuma Hussein
TRA yajivunia mafanikio haya miaka minne ya Rais Samia

1 day ago
·
Lucy Samson
Tanzania yapanga kukusanya na kutumia Sh57 trilioni bajeti ya Serikali 2025/26

2 days ago
·
Lucy Samson
Serikali yatoa mwongozo kwa wasafiri kudhibiti M-Pox