Viwango vya kubadili fedha za kigeni Januari 8, 2025
January 8, 2025 9:08 am ·
Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Januari 8, 2025.
Viwango hivi, vinavyobadilika kutokana na mwenendo wa soko, pia husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi.
Latest
13 hours ago
·
Lucy Samson
Mfumuko wa bei za bidhaa, huduma wapaa Tanzania
14 hours ago
·
Davis Matambo
Rais Samia: Shule zizalishe wataalamu zaidi kuliko wasomi
15 hours ago
·
Nuzulack Dausen
BoT yabakiza riba ya benki kuu 6% robo ya kwanza 2025
16 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Wafahamu watu 10 tajiri zaidi duniani 2025